Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni kuzikusanya stori kubwa 10 za siku kutoka kwenye maisha, muziki, michezo na mengine.
#AMPLIFAYA #Aug242015 #10 Mwigizaji Dude asema Serikali haikupiga marufuku show yake ya #BongoDaresalaam kuonekana kwenye TV, INARUDI soon.
— millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug242015 #9 Mwimbaji Bebe Cool wa Uganda asema bongofleva ilikua nzuri zamani lakini sio sasa hivi, hajavutiwa na ya sasa. — millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug24 #8 Nchi 11 za Afrika zimekutana Dar kuona itakuaje msimu ujao wa Mvua, TZ inajipanga kisitokee kama 2007 kwenye EL NINO.
— millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug242015 #7 Khaleed Chokoraa hajaamia Twanga, Kalala Juniour anasema huwa wanakutana vikaoni ndio maana watu wanahisi anahama. — millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug242015 #6 Mkenya yeyote atakaekutwa anauza Pombe kabla ya saa kumi na moja jioni atakamatwa. – Radio Jambo
— millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug242015 #5 SUMATRA: ‘Tangu July tumepokea mikataba mipya zaidi ya 1700 iliyosainiwa na Madereva, sasa hivi wanasema ni Feki’ — millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug24 #4 Ivo Mapunda asema Taulo lake lile halina uchawi, alipogundua anahisiwa hivyo ndio akalibeba zaidi kuchukua headlines
— millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA Aug24 #3 Mgombea Ubunge SHY mjini P.Patrobas (CDM) ‘Nilitekwa na kushambuliwa, nashangaa muhusika nimekuta hapohapo Polisi’ — millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug24 #2 Edward Lowassa leo ameanza kukutana na Wakazi wa Dar mitaani, alipanda pia daladala na kusikiliza matatizo ya Wananchi.
— millard ayo (@millardayo) August 24, 2015
#AMPLIFAYA #Aug24 #1 Mgombea Mwenza UKAWA Juma Duni asema ‘Tuliingia mitaani leo ni kwenda kuwasilimia wale wanaoitwa Wapumbavu na Malofa’ — millard ayo (@millardayo) August 24, 2015