Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam ikiongozwa na mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
#AMPLIFAYA #Feb3 #10 Francis Cheka ‘Namshukuru Mungu niko salama, miaka mitatu gerezani itapita tu sio mingi… kuna watu wana miaka 10’
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #9 Nay wa Mitego asema staili ya kumwagia mashabiki maji kwenye show haina ushirikina ndani yake, ataendelea nayo 2015. — millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #8 Meneja wa Diamond Bab Tale >> ‘Kuna kolabo ya Diamond na Donald wa S.A, nyingine na Fally, tunatoa ngoma 4 Jan- March’
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #7 MissTZ 2014 Lilian Kamazima ‘Miss TZ kufungiwa wamenyima watu ajira/nafasi lakini wameichemsha ubongo kamati ya MissTZ’ — millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #6 Unaambiwa wakati Neymar anahamia Ulaya alikua na uzito wa kilo 64 ambao ulimsumbua kwenye mechi uwanjani.
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #5 Kocha wa Sampdoria akasirishwa na utovu wa nidhamu wa Eto’o, ni baada ya kuondoka mazoezini bila kuaga na hakurudi. — millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #4 Msanii Abbas Mohamed, rapper wa Uganda ambae ni mjukuu wa Idi Amin, anasema ‘Wajukuu wa Idi Amin tuko zaidi ya 500’
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #3 Serikali imesema daraja la Kigamboni litakua limekamilika tayari kwa kuanza kutumika kuanzia July 2015. — millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #2 Dokii asema hajaharibikiwa maisha, kutoonekana movie nyingi sio kipimo cha kuishiwa, kuna wanaoonekana na hawana pesa.
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
#AMPLIFAYA #Feb3 #1 Mtanzania ‘Tevez’ anaedaiwa kukatwa uume Afrika Kusini ‘Sijakatwa uume, ni purukushani za mwenyeji kupora milioni zangu’
— millardayo.com (@millardayo) February 4, 2015
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook