Mwigizaji wa Bongo Aunty Ezekiel amekaa kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na AyoTV kwenye red carpet Mlimani City Dar es salaam kwenye uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kujibu maswali yasiyopungua matatu.
KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA KUPUNGUA:
“Mimi nahisi labda mazingira ambayo tunaishi, mimi nimenza kuishi na mtu na yeye amekua mwenyewe… labda mimi huku nakuwa busy na mtoto kwahiyo tunatofautiana mazingira ambayo tunaishi lakini kusema uhusiano umepungua kutokana na sababu nyingine sio kweli” – AUNTY EZEKIEL
Unataka kujua amesema nini kuhusu Diamond na Alikiba? ukimya wake je? bonyeza play kwenye hii video hapa chini
FID Q: Team Kiba hawajapenda wanatukana… huwezi kunipangia cha kufanya” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
VIDEO: Ushauri wa Huddah kwa Alikiba na Diamond… bonyeza play hapa chini kutazama yote aliyoyasema
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA