Video Mpya

VideoMPYA: Hawa wa ‘Nitarejea’ amerudi na tabasamu ‘Nilimiss kucheka’

By

on

Baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na maradhi yaliyomsumbua mwimbaji Hawa Nitarejea sasa amerudi tena na kuleta ngoma mpya kwa ajailli ya mashabiki zake, na time hii ameidondosha “Kucheka”. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: MBASHA KAMUOA MUNALOVE? “ANANIKUBALI SANA, MIMI PIA NAMKUBALI” 

Soma na hizi

Tupia Comments