Michezo

Anthony Joshua arudisha Ubingwa wake wa dunia

on

Baada ya June 1 2019 nchini Marekani bondia Anthony Joshua kupoteza mikanda mitatu ya Ubingwa wa dunia dhidi ya bondia wa kimarekani mweye asili ya Mexico Andy Ruiz  usiku wa December 7 2019 walirudiana.

Bondia Anthony Joshua raia wa Uingereza amefanikiwa kurudisha Ubingwa wa Dunia wa uzito wa juu kwa kumpiga bondia wa Marekani mwenye asili ya Mexico Andy Ruiz katika rematch iliyochezwa Saudi Arabia, AJ ameshinda kwa point katika pambano la round 12.

Baada ya pambano hilo kumalizika na Andy Ruiz baada ya kuulizwa na AJ kuwa ana mpango wa kustaafu akasema hapana na naomba pambano la tatu la marudiano.

Soma na hizi

Tupia Comments