Michezo

Arsenal yazidi kuifukuzia Chelsea

on

alexArsenal inaifukuzia Chelsea katika kuwanaia kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya England baada ya jana kushinda bao 1-0 ugenini ikiwa ni ushindi wa nne mfululizo.

kidoleSasa Arsenal imefikisha jumla ya pointi 66 ikiwa nyuma ya Chelsea yenye pointi 70 baada ya jana Aaron Ramsey kufunga goli la ushindi dhidi ya  Burnley dakika dakika ya 12.

oyeeeTotternham nayo imezamishwa na Aston Villa bao 1-0 lililofungwa na Cristian Benteke dakika ya 35 kwenye uwanja wa White Hart Lane, London

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments