Michezo

Simba SC wameingilia mlango usio rasmi kama Yanga vilee (+video)

on

Leo February 16, 2019 Katika Derby ya Kariakoo Wachezaji wa Simba wametumia mlango unaotumiwa na waandishi wa habari halafu wakawazuia waandishi kuingia kwa kutumia mlango huo.

Simba na Yanga wote hawajapita kwenye mlango rasmi wa kuingilia vyumba vya kubadilishia nguo, kila timu imepita ilipoamua.

LIVE: IBADA YA MAZISHI YA MSANII GODZILLA

 

Soma na hizi

Tupia Comments