Mix

MSG ya dada wa Diamond kwa mama Wema Sepetu kuhusu kesi ya Wema

on

Ni baada ya mwigizaji Wema Sepetu kushikiliwa na Polisi mpaka sasa kuhusiana na tuhuma za dawa za kulevya ambapo baadhi ya Watuhumiwa wenzake walifikishwa Mahakamani jana na kuachiwa kwa dhamana lakini yeye hakupelekwa.

Dada wa mwimbaji Diamond Platnumz aitwae Esma Platnumz ametumia account yake ya instagram kumuandikia ujumbe  wa kumfariji mama mzazi wa Wema Sepetu.

Esma Platnumz

Najua hakuna mzazi anayeuwa bali mtoto anauwa mama Mungu akutie nguvu Mama @wemasepetu najua hali uliyokuwa nayo km mimi Mzazi naelewa maumivu ya mtoto anapokuwa na matatizo Mwenyezi Mungu amjalie sababu hili jambo sio lake Tu bali letu sote hakuna anayejua siku yake ya matatizo yatakapomfika muhimu tuseme Mungu atuepushe tunawapenda tunawajali na tunawaombea pia”

VIDEO: Maagizo matatu ya Paul Makonda kwa kila mzazi Dar es saalaam na mengine, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments