AyoTV

AUDIO: Msuva waongezewa wiki 3 lockdown, timu yao yafukuza kocha

on

Wote tunajua leo Rais wa Magufuli ametangaza kuwa vyuo vifunguliwe na michezo irejee kuanzia June 1 baada ya hali ya maambukizi ya Corona kupungua nchini, unajua Ligi Kuu Morocco ilikuwa imesimama pia kama zilivyokuwa zimesimama Ligi nyingine Duniani.

So kwa Morocco walikuwa wametoa taarifa kuwa hadi kufikia May 20 2020 watatoa muongozi kama kurejea kwa Ligi au timu zianze mazoezi au vipi, Amplifaya ya Clouds FM imeongea na mtanzania Simon Msuva anayecheza club ya Difaa El Jadid ya nchini Morocco, unajua licha ya Ligi kusimama Msuva hakurudi Tanzania so vipi leo ni May 21 Ligi inareja? na vipi mbona club yao jana imetangaza kumfukuza kazi kocha wao mkuu na alikuwa akifanya vizuri?

VIDEO: HAJI MANARA, ANTONIO NUGAZ NA NDIMBO WAONESHA IMANI NA KAULI YA RAIS JPM

Soma na hizi

Tupia Comments