Jux Feat Joh Makini- “I’m Looking for You” (Video)… Exclusive inaanzia kwenye TV station kubwa Africa leoleo…
Msanii wa Bongo Flava Jux anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, Jumanne…
Umeipata hii ya joto kali lililoyeyusha mpaka gari? Nimeisogeza toka Italy… (+Video)
Stori za joto kuongezeka kipindi hiki sehemu mbalimbali duniani zimekuwa zikichukua headlines…
Unaambiwa hizi ndio kazi za hatari zaidi duniani…
Kuna msemo unasema 'acha kazi uone kazi kupata kazi'..na kila mmoja anapaswa…
Video ya msafara wa Lowassa barabarani mpaka ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya Urais
Timu ya millardayo.com ilikusogezea updates zote kila kilichokuwa kinaendelea August 10 2015…
Mbowe augua ghafla, Magufuli na ushindi wa Tsunami na matokeo yatangaziwa Polisi..#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayewakilisha vyama vinavyounda Ukawa, Waziri…
Lowassa alivyotikisa Dar… Sheria ya Uhalifu wa Mitandao? Dk. Bilal kuhusu kuhama CCM? Dk. Magufuli na CCM? (Audio)
Kutoka kwenye Magazeti ya Jumanne 11 August 2015 hapa nina Uchambuzi wa Stori…
Barabara zilivyofungwa Dar baada ya Lowassa kuchukua Fomu ya Urais NEC leo.. (Pichaz)
Headlines za Siasa zinaendelea kubeba uzito wa juu Tanzania, August 10 2015…
Feza Feat.Chege kwenye headlines za burudani na hii mpya ‘Sanuka’…(Audio)
Baada ya ukimya aliyekuwa mshiriki wa Big Brother, Feza Kessy ameachia single…
Hivi ndivyo video ya Linah ‘No Stress’ ilivyotengenezwa South Africa (Behind The Scene)
Mkali kutoka Tanzania Linah wiki iliyopita alifanikiwa kuachia video yake ya wimbo…
Yapo hapa mengine ya Wema Sepetu kuhusu Magufuli na Lowassa..
Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi…