“Moyo wa nguruwe unafanya kazi kawaida kwa binadamu”
Madaktari wa Baltimore Marekani wamefanikiwa kuupandikiza moyo wa Nguruwe kwa Binadamu ambaye…
Naibu Katibu Mkuu ashiriki kikao Kamati ya Fedha SADC
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
“Tutatumia mbinu zote kuongeza mchango Sekta ya misitu, nyuki” Ndumbaro (+picha )
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imepanga kuibua mbinu mpya zitakazoiwezesha…
LIVE: Rais Mwinyi akiongoza sherehe za miaka 58 Mapinduzi, Rais Samia ashiriki
Muda huu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.…
WHO: Nusu ya watu Ulaya wataambukizwa kirusi cha Omicron
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya nusu ya…
Mkuu wa Usalama Denmark akamatwa na Polisi
Mkuu wa kitengo cha Usalama na intelijensia nchini Denmark DDIS Lars Findsen…
Miaka 54 bado anacheza mpira
Kazuyoshi Miura mwenye umri wa miaka 54 amesaini mkataba na klabu ya…
Kenya yasitisha safari za ndege za abiria kutoka Dubai
Kenya imesitisha safari zote za ndege za abiria zinazoingia na kutoka Umoja…
Bei ya mafuta duniani yaongezeka kufuatia machafuko Kazakhstan
Machafuko katika nchi ambayo ni mwanachama wa kundi la Opec+ ya Kazakhstan…
Naibu Spika Tulia anautaka Uspika
Januari 10, 2022 Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Naibu Spika wa Bunge…