Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Nchini Kenya, muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja, umeitisha tena maandamano…
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Deby ametangaza msahama kwa mamia…
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Makamu wa kwanza wa rais wa Marekani siku ya jumamosi ataanza safari…
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Hong Kong- Uchina ilisema itapinga kwa uthabiti na moja kwa moja uuzaji…
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Mlipuko wa virusi vya Marburg nchini Equatorial Guinea umesababisha vifo vya watu…
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Makundi ya kihindu pamoja na chama tawala cha Hindu nationalist Bharatiya Janata,…
WASHINGTON:Mkurugenzi Mtendaji wa TikTok “kampuni hii sio wakala wa Uchina au nchi nyingine yoyote”.
Mkurugenzi mtendaji mkuu wa TikTok anapanga kuwaambia wabunge mjini Washington leo kwamba…
Wanandoa mahakamani wakidai haki ya kumpatia mtoto wao jina Kuzimu (Hades).
Wanandoa hao kristina Desgres na Rodrigo Velasquez walipata mtoto wao wa kiume…
Beijing:Idadi ya watu kwenye mji mkuu wa China, yashuka kwa mara ya kwanza tangu 2017.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na serikali mapema wiki hii, idadi ya wakazi…
Siku ya utabiri wa hali ya hewa duniani.
Siku kama ya leo miaka 73 iliyopita, liliasisiwa Shirika la Hali ya Hewa…