Habari za Mastaa

Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya

on

Baada ya kufanya poa sana kwa hit single ya “Zigo Remix”, rapa AY amerudi tena studio kuandaa collabo yake mpya na amethitisha hilo kwa kuweka wazi kwamba anategemea kuachia ngoma ambayo ameshirikiana na rapper Nyashinski kutoka Kenya.

Kupitia account yake ya Instagram AY ameeleza kuwa siku sio nyingi ataachia wimbo aliofanya na Nyashinski ambaye anafanya vizuri sana kupitia hit song yake ya ‘Mungu pekee’ & ‘Now you know’.

Video: AY Exclusive Interview kuhusu Diamond kwenye Zigo remix na wengine>>>

Soma na hizi

Tupia Comments