May 3, 2017 Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu aliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 kiasi cha Shilingi 1, 115, 608, 772, 090.00
Full video ya Waziri Ummy Mwalimu alivyokuwa akiwasilisha bajeti hiyo nimekuwekea hapa chini tayari…
VIDEO: ‘Tulikuwa tukitukanwa hapa leo mnakuja na haya mengine’ –Abdallah Ulega