Top Stories

Balaa la Bilionea Laizer !! katuonesha Shule aliyoijenga ‘nimejitolea bure’

on

Ulitamani kumuuliza Bilionea Laizer atafanya nini kujipongeza baada ya kupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya BILIONI 7.8? ulikua unafahamu kwamba Laizer amejenga Shule kwenye kiwanja chake na amefanya hivyo kwa kujitolea bure? bonyeza play hapa chini kumtazama kwenye hii EXCLUSIVE.

.

Soma na hizi

Tupia Comments