Michezo

Baada ya kulizwa na kipigo wiki iliyopita, Balotelli aipa AC Milan ushindi kwa bao kali, litazame hapa

on

469407471Baada ya kulizwa na kipigo kutoka kwa Napoli wiki iliyopita, mshambuliaji mwenye vituko wa kiitaliano Mario Balotelli jana usiku aliiongoza timu ya AC Milan kupata ushindi kutoka Bologna kwenye wa ligi kuu ya Serie A.

Super Mario alifunga bao katika dakika ya 83 kwa shuti kali kutokea upande wa winga ya kulia mwa uwanja. Mpaka mchezo huo unaisha AC Milan walitoka uwanjani na ushindi wa 1-0.

TAZAMA VIDEO YA GOLI HILO

Tupia Comments