The Africa Princess ‘Nandy’ ametusogezea cover ya wimbo wa ‘Mimi ni wa juu’ iliyoimbwa na mwimbaji kutokea kwenye muziki wa Gospel Joel Lwaga ndani ya limbo huo ameyakusanya baadhi ya matukio ikiwemo picha za msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba.
VIDEO VARANGATI: WOLPER AMWAMBIA SHILOLE “UNATUDHALILISHA”