Habari za Mastaa

PICHA 14: Wema Sepetu alivyofika na kuondoka Mahakamani…kilichoendelea je?

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 18, 2017 imesema haijakamikisha kuandaa uamuzi wa ama kupokea au kutopokea kielelezo cha msokoto na vipisi vya bangi, katika kesi inayomkabili Wema Sepetu na wenzake.

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amewaambia Mawakili wa Serikali na Utetezi kuwa hajamaliza kuandaa uamuzi huo kutokana na kazi nyingi kumkabili ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi August 31, 2017 kwa ajili ya kutoa uamuzi na September 12 na 13/2017 kwa ajili ya kusikilizwa.

Soma na hizi

Tupia Comments