Habari za Mastaa

Hii ndiyo zawadi ya Valentine kutoka kwa Belle 9.

By

on

IMG-20140213-WA0003Kama ni miongoni mwa mashabiki wanaomfatilia Belle 9 kutoka 88.5 Morogoro,hii ameitoa maalum kwa ajili yako wewe shabiki wake,ni wimbo aliufanya miaka michache iliyopita na ndani ya wimbo huu kashirikishwa Baby Madaha ulifanyika pale BHITS chini ya Pancho Latino na Hammy B,Belle 9 anadai huu wimbo ulifanywa kabla ya Nilipe Nisepe.

belle

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments