Nyumba/ Mijumba

PICHA 38: Muonekano wa nyumba inayotajwa kuwa bora zaidi Afrika

on

Mtu wangu leo nimeipata hii inayotajwa kuwa ni nyumba bora zaidi barani Afrika. Nyumba hii inaitwa Kloof Road House imeingia kwenye orodha ya majumba yenye ubora zaidi duniani na ikielezwa kuwa ni nyumba inayoongoza kwa uzuri na bora zaidi kutoka Afrika. Jumba hili limejengwa nchini Afrika Kusini katika jiji la Johannesbourg.

2-38

Nyumba hii imejengwa na kampuni ya Nico van der Meulen architects ambayo imehusika kwenye ubunifu wa majengo mengi sehemu tofauti duniani na inapatikana kwenye mji wa Bedfordview, Johannesbourg imekuwa inawashangaza watu wengi kutokana na jinsi ilivyopangiliwa ndani yake, pamoja na ukubwa wa eneo ilipojengwa likiwa na mita za mraba elfu moja na mia moja.

Nimekuwekea hapa Picha 38 za nyumba hiyo

Garage doors in Kloof Road House

View from Kloof Road House

Swimming pool in Kloof Road House

Outdoor living space in one of the best houses in the world

Terrace of Kloof Road House

Facade of Kloof Road House

Outside of one of the best houses in the world

Incredible modern living room

Dark modern living room furniture

Modern living room in one of the best houses in the world

Amazing modern interior in Kloof Road House

Living room interior in Kloof Road House

Dinning room in one of the best houses in the world

Dining table in Kloof Road House

Terrace view in Kloof Road House

Terrace in one of the best houses in the world

Glass walls inside of Kloof Road House

Living room furniture in Kloof Road House

Ground floor living space

Furniture in Kloof Road House

Kitchen in one of the best houses in the world

Ground floor interior in Kloof Road House

Open interior in Kloof Road House

Modern bathroom in Kloof Road House

Second bedroom in one of the best houses in the world

Entertainment room in Kloof Road House

Black furniture in Kloof Road House

Terrace in one of the best houses in the world

View from the Kloof Road House

Amazing interior in Kloof Road House

Modern bedroom in Kloof Road House

Modern bedroom in one of the best houses in the world

Wall lights on Kloof Road House

Lights outside one of the best houses in the world; Kloof Road House

Entrance hallway in Kloof Road House

Sculptural staircase in Kloof Road House

Modern staircase in Kloof Road House

One of the best houses in the world; Kloof Road House

Facade of Kloof Road House

UMEIKOSA TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU AJALI YA BASI JIJINI MWANZA? NIMEKUWEKEA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments