Michezo

PICHA: MO Simba Awards 2019, list ya washindi

on

Usiku wa May 30 2019 zilifanyika tuzo za MO Simba 2019 ambapo ni tuzo ambazo utolewa kwa wachezaji wa Simba SC kila mwaka hii ni kutokana na kutambua mchango wao, Simba SC katika tuzo hizo ilikuwa na vipengele mbalimbali.

Tuzo hizo zilitolewa kwa kufuata vigezo mbalimbali ikiwemo kura, mchezaji bora wa club aliyechaguliwa na wachezaji wenzake ni Erasto Nyoni aliyeshinda tuzo mbili na beki bora, wakati Meddie Kagere akiibuka mchezaji bora na mfungaji bora pia.

Mzambia Clotous Chama yeye ndio amepewa tuzo ya goli bora, wakati John Bocco akipewa tuzo ya mshambuliaji bora, Meddie Kagere mchezaji bora, Aishi Manula golikipa bora na Rashid Juma akishinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi na James Kotei raia wa Ghana ndio kiungo bora.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments