Top Stories

Bila kupepesa Askofu amuuliza RC maswali “ajira, afya, usalama”, ajibiwa kwa niaba ya Rais (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ibada ya kumsimika Askofu wa Moravian Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Katale Yona iliyofanyika Wilayani Urambo Mkoa wa Tabora.

Akiwa katika Hafla hiyo Askofu Katale ameibua hoja za kimaendeleo ikiwemo suala la Ajira, Afya na Usalama wa Watanzania wanaotoka Kanda ya Magharibi ambapo RC amezijibu kwa niaba ya Rais Magufuli ambapo zingine amezitolea ufafanuzi kulingana na eneo lake la kazi.

 

Soma na hizi

Tupia Comments