Trump anaonekana kuilaumu Ukraine juu ya vita na Urusi
Kulingana na ripoti za jana usiku, rais Donald Trump alipendekeza vita vya Urusi nchini Ukraine vingeweza "kutatuliwa kwa urahisi sana" huku akikosoa ustadi wa mazungumzo wa Kyiv kumaliza mivutano hiyo.…
Hamas kuwaachilia mateka 6 walio hai wa Israel na miili 4 waliofariki kwenye vita
Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas anasema kundi hilo la wanamgambo litawaachia huru mateka sita wa Israel siku ya Jumamosi na kurudisha miili ya wengine wanne siku ya Alhamisi,…
Dkt. Diallo: Nunueni pembejeo mapema baada ya kuuza mazao
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dkt. Anthony Diallo amewataka wakulima wa pamba kununua mbolea pindi wanapouza mazao yao ili kuwawezesha kuzitumia wakati msimu wa…
Jaji wa pili asitisha agizo la Trump linalolenga kusitisha huduma kwa watu waliobadili jinsia
Jaji wa shirikisho katika jimbo la Washington amezuia sehemu muhimu ya amri ya utendaji ya Rais Donald Trump ambayo ilitaka kuzuia upatikanaji wa huduma ya uthibitisho wa kijinsia kwa vijana…
Sudan Kusini inapambana kukomesha usajili watoto vitani
Serikali ya Sudan Kusini imesisitiza dhamira yake ya kukomesha uandikishaji na utumiaji wa wanajeshi watoto. “Wizara ya Jinsia, Watoto, na Ustawi wa Jamii inatambua uzito wa suala hili, na tuna…
Asilimia 95 tumetekeleza ilani ya CCM,baraza la Madiwani Geita
Balaza la Halmashauri ya wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika halmashsuri hiyo .…
Naibu waziri Kapinga awataka Pura kuongeza juhudi
Naibu Waziri wa Nishati, mh Judith Kapinga, amewataka viongozi wa Mamlaka ya udhibiti Mkondo wa juu wa Petroli (PURA), kuongeza juhudi na ufanisi katika majukumu Yao, ili kuvutia wawekezaji watakaosaidia…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 19, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 19, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 19, 202
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 19, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mbunge Yahya Khamis amekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 600
Mbunge wa Jimbo la Kijini, Yahya Khamis Ali (Mambalesi) amekabidhi msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Taasisi ya Human bridge ya nchini Sweden. Vifaa hivyo, vyenye thamani ya shilingi milioni…