Marekani Inasema Ukraine inahitaji wanajeshi zaidi, sio silaha Pekee, ili Kushinda Vita
Ikulu ya White House ilisema Ukraine lazima iajiri wanajeshi zaidi kwa ajili ya vita dhidi ya Urusi, ikiwa ni pamoja na kupunguza umri wa kuandikishwa, kwani ukosefu wa wafanyikazi badala…
Bayer Leverkusen inajiunga na Chelsea, kumnasa beki wa pembeni wa Lecce Dorgu
Bayer Leverkusen wameonyesha nia ya kutaka kumnunua beki wa pembeni wa Lecce, Patrick Dorgu hii ni kulingana na ripoti mbalimbali. Kinda huyo wa Denmark ameendelea na matokeo ya msimu uliopita…
Rais wa China Xi amsimamisha kazi afisa mkuu wa jeshi kwa tuhuma za ufisadi
Afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la China ameondolewa madarakani na anashukiwa "ukiukaji mkubwa wa nidhamu", Beijing ilisema Alhamisi, kiongozi mkuu wa hivi punde aliyeanguka katika msako mkali dhidi…
Israeli yakata Rufaa dhidi ya hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu
Israel leo imeenda kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu au ICC kukata rufaa dhidi ya agizo lake la kumkamata Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa "uhalifu wa kivita". Katika…
Apewa dola Milioni 13 baada ya kukaa gerezani miaka 27 bila hatia
Michael Sullivan Raia wa Marekani amepata fidia ya dola milioni 13( billioni 34 za kitanzania) baada ya kutumikia kifungo cha miaka 27 gerezani kwa kosa ambalo hakuwa ametenda ambapo alifungwa…
Ruud van Nistelrooy anakaribia kupata kibarua cha Leicester City
Kocha huyo msaidizi wa zamani wa Manchester United atachukua nafasi ya Steve Cooper, baada ya kutimuliwa kama meneja wa Foxes siku ya Jumapili, ilisema BBC Sport. Van Nistelrooy ana uzoefu…
Namibia inasubiri matokeo ya uchaguzi wenye ushindani mkali
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Namibia baada ya uchaguzi ulioonekana kuwa na ushindani mkali zaidi katika miongo kadhaa. Kulikuwa na misururu mirefu nje ya vituo vya kupigia kura siku…
Diddy anyimwa dhamana kwa mara ya tatu
Hatimaye Sean “Diddy” Combs ameikosa dhamana kwa mara ya tatu kutoka kwa hakimu katika jiji la New York. Majaji wawili hapo awali walikataa kuachiliwa kwa Bw.Combs kutoka kizuizini, haswa kwa…
Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya Israel
Kundi la Hezbollah limedai "ushindi" dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari kukabiliana na vitisho vya Israel siku zijazo Kundi la…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.