Takriban 70% ya waliouawa huko Gaza ni wanawake na watoto: UN
Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa ilisema karibu asilimia 70 ya waliouawa katika mzozo unaoendelea Gaza ni wanawake na watoto, na kuuita "ukiukaji wa…
Saudi Arabia :Barafu yatanda Jangwani
BARAFU YATANDA JANGWANI SAUDI ARABIA Kitendo cha barafu kutanda jangwani ni nadra sana katika maeneo mbalimbali Duniani hasa katika maeneo ya jangwa anmbayo hujulikana kuwa na hali ya hewa…
Usingizi wa mchana ni ishara ya shida ya afya ya akili
Watu ambao wanapata usingizi wa kupindukia wakati wa mchana au kukosa usingizi kabisa nyakati za usiku wako katika hatari kubwa ya kupatwa na matatizo ya shida ya afya ya akili…
Lamar Odom anunua mdoli unaofanana na Ex wake Khloe Kardashian
Mchezaji wa zamani wa Mpira wa kikapu, Lamar Odom, ameripotiwa kununua Mdoli wa kujifurahisha unaofanana na sura ya aliyekuwa Mke wake, Khloé Kardashian na kwa mujibu wa Meneja wake, Gina…
Rais wa Korea Kusini aomba radhi kwa masuala ya mkewe
Rais wa Korea Kusini ameomba radhi kwa msururu wa mabishano yanayoendelea yanayomkabili mkewe ambayo ni pamoja na kudaiwa kukubali mkoba wa kifahari wa Dior na kujikusanyia mali isiyo halali. Akihutubia…
Maafisa wa afya wa Uingereza wamegundua visa vinne vya Mpox
Maafisa wa afya wa Uingereza wanasema wamegundua visa vinne vya ugonjwa huo mpya, unaoambukiza zaidi ambao uliibuka nchini Kongo, ikiashiria mara ya kwanza tofauti hiyo kusababisha kundi la magonjwa nje…
Netanyahu apiga Stop uokoaji wa kijeshi kwa mashabiki wa Israel waliofanyiwa fujo
Mipango ya kutuma ndege za kijeshi nchini Uholanzi kuwaokoa mashabiki wa Maccabi imefutiliwa mbali, ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza. Katika taarifa mpya, ofisi ya Benjamin Netanyahu inasema, baada…
Waisrael waliosafiri kushuhudia mechi ya Ajax washambuliwa huko Amsterdam
Mashabiki wa mpira wa Israel wamekabiliwa na msururu wa mashambulizi katikati mwa Amsterdam, maafisa wanasema, huku polisi wa kutuliza ghasia wakilazimika kuingilia kati mara kadhaa kuwalinda. Waziri Mkuu Dick Schoof…
Wajumbe wa shirika la fedha la kimataifa IMF kuzuru Pakistan mwezi huu
Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) utazuru Pakistan kuanzia Novemba 11 hadi 15, kukagua utendaji wa kiuchumi na malengo ya bajeti. Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, kutakuwa na…
Rais mteule Donald Trump aanza uteuzi
Rais mteule Donald J. Trump alitangaza Alhamisi kwamba Susie Wiles, mwanastrategist mkongwe wa Florida ambaye amesimamia operesheni yake ya kisiasa kwa karibu miaka minne, atakuwa mkuu wake wa wafanyikazi katika…