Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu zaidi kuwahi kurekodiwa
Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu, ambalo liliruka kwa dakika 86 - safari ndefu zaidi kuwahi kurekodiwa - kabla ya kuanguka majini kutoka mashariki mwa Korea, Korea Kusini na…
Uhispania inatafuta miili yawaliopotea baada ya mafuriko yalioua watu wasiopungua 95
Manusura wa maafa makubwa zaidi ya asili kuwahi kuikumba Uhispania karne hii waliamka na kuona hali ya uharibifu siku ya Alhamisi baada ya vijiji kuangamizwa na mafuriko makubwa yaliyogharimu maisha…
Serikali inatarajia kuanzisha baraza la Afya ya akili:Waziri Mkuu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema serikali inatarajia kuanzisha baraza la Afya ya akili nchini litakalosimamia muundo utakaoratibu sekta mbalimbali za kitaaluma na kiutendaji ili…
Ajali ya Helkopta ya kijeshi yaua 3 nchini Kongo
Habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa, jana Jumatano kulitokea ajali mbaya ya helikopta ya kijeshi ya nchi hiyo na kupelekea kupoteza maisha rubani, rubani mwenza na fundi…
Kiongozi mpya wa Hezbolah aapa kuendeleza vita
Kiongozi mpya wa Hezbollah kutoka Lebanon, Naïm Qasim, ametoa hotuba yake ya kwanza siku ya Jumatano OKtoba 30, 2024, siku moja baada ya kuteuliwa kama mkuu wa kundi linalounga mkono…
Kisa cha kwanza cha Mpox chagunduliwa Uingereza
Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza limetangaza siku ya Jumatano Oktoba 30 kwamba limegundua kisa cha kwanza cha maambukizo ya aina mpya ya virusi vya Mpox, ambavyo chimbuko lake…
Katavi wahimizwa kuzingatia alama ya ubora ya TBS
Shirika la Viwango nchini TBS limeendelea kutoa elimu kwa Wananchi juu ya kuzingatia alama za ubora na matumizi ya bidhaa zilizothibitishwa na TBS. Akitoa elimu hiyo Afisa udhibiti ubora Kanda…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 31, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 31, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Korea Kaskazini yajiandaa kufanya jaribio la nyuklia hivi karibuni
Wakala wa ujasusi wa jeshi la Korea Kusini umewaambia wabunge hivi leo kwamba Korea Kaskazini huenda imekamilisha maandalizi ya kufanya jaribio lake la saba la nyuklia na inaonekana inajiandaa kufanya jaribio la…