Netanyahu na baraza lake ndio kizuizi kikubwa cha mapatano ya amani
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na baraza lake la mawaziri wa vita ndio "kizuizi kikubwa" kwa amani ya eneo hilo, Türkiye amesema. Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki…
Zaidi ya watu 10,000 nchini Haiti wamekimbia makazi yao ndani ya wiki moja
Zaidi ya watu 10,000 nchini Haiti wamekimbia makazi yao ndani ya wiki iliyopita huku magenge yenye silaha yanayoendesha shughuli zake ndani na karibu na mji mkuu wa Port-au-Prince yakizidisha mashambulizi…
Afrika yaripoti kesi 134 mpya za polio katika Siku ya Polio duniani
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya Polio Duniani, Afrika imerekodi visa vipya 134 vya polio katika angalau nchi saba, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza. Mkurugenzi wa kanda wa WHO kwa…
Ziara ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi RUWASA yazaa matunda Kagera
Kupitia ziara ya Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA Mhandisi Lucy Koya aliyoifanya Mkoani Kagera kwa kutembelea na kukagua miradi mbalimbali…
Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano ya BSS
Chief Judge wa Bongo Star Search na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Madam Rita, ameutambulisha msimu wa 15 wa mashindano hayo ya kusaka vipaji vya wasanii wanaopatikana kutoka miji…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam wailteta kampuni ya ‘Volkswagen’ nchini
KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake…
CAF yatangaza makocha na wachezaji wanaowania tuzo kwa mwaka 2024
Shirikisho la soka Afrika CAF limetangaza timu, Wachezaji na Makocha wanaowania tuzo za CAF 2024. Golikipa wa Yanga SC Djigui Diarra ni miongoni mwa Magolikipa wanaowania tuzo ya Kipa bora…
‘Maisha yalichukua mume kutoka kwangu’ – Shakira anajibu baada ya kuachana na Pique.
Shakira amejibu mgawanyiko wake uchungu na nyota wa zamani wa Barcelona, Gerard Pique, akisema kwamba "maisha yalichukua mume kutoka kwangu" walipoachana. Baada ya miaka 11 na watoto wawili pamoja, ilitangazwa…