Lebanon inasema juhudi zinaongezeka kufikia usitishaji mapigano nchini humo
Juhudi za kufikia usitishaji mapigano nchini Lebanon zimeongezeka zaidi ya saa chache zilizopita, kwa mujibu wa ofisi ya Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati, na kuongeza kuwa mawasiliano kati ya…
Rapa P Diddy aishutumu serikali kwa kuvujisha taarifa zake nyeti
Sean "Diddy" Combs amewashutumu maafisa wa serikali na waendesha mashtaka kwa kuvujisha taarifa kinyume cha sheria kuhusu kesi yake. Inaripotiwa kuwa Wanasheria wa Combs wamelalamikia uchunguzi wa idara ya usalama…
SHIUMA lataka wamachinga Iringa kukomesha migogoro
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa…
Rafael Nadal atangaza kustaafu kwake kutoka kwenye Tenis
Gwiji wa tenisi Rafael Nadal ametangaza azma yake ya kustaafu hivi karibuni kutoka kwenye mchezo huo baada ya kazi yake nzuri ambapo alinyakua mataji 22 makubwa ya slam. Anachukuliwa kuwa…
TRA kuzidi kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara
Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusufu Mwenda, ameahidi kushirikiana Kwa karibu na wafanyabiashara, kuhakikisha kuwa wanapata msaada unaohohitajika ili kufanikisha malengo ya Serikali Katika kukuza uchumi wa…
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limechagua wajumbe 18 wa Baraza la Haki za Kibinadamu
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekua miongoni mwa nchi 15 zilizochaguliwa katika Baraza la Haki za Kibinadamu siku ya Jumatano, licha ya pingamizi za upinzani nchini humo. Benin, Gambia, Kenya…
Kiwango cha ushindani katika ligi ya Saudia kimeongezeka:Sadio Mane.
Fowadi wa Al-Nassr Sadio Mane alisema Jumatano alinukukiwa akisema kuwepo kwa wachezaji wengi wa Senegal kwenye Ligi ya Saudia kunanufaisha timu ya taifa kutokana na kiwango cha juu cha ushindani…
Heslb yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/25
Ni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jumatano (Oktoba 09, 2024) imetangaza awamu ya pili ya orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo na ruzuku kwa…
Dkt Biteko aungana na Wanabukombe kwenye mbio fupi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt.Doto Biteko leo Oktoba 10, 2024 ameungana na wananchi wa Bukombe kwenye mazoezi ya kukimbia mbio fupi za KM 5 ikiwa ni…
“Klopp ni mnafiki,”mashabiki wamvaa baada ya kukubali kibarua cha Red Bull
Mashabiki wa Borussia Dortmund na Liverpool wamemkashifu meneja wa zamani wa klabu yao, Jürgen Klopp kuhusu kuteuliwa kwake kuwa mkuu wa soka duniani wa Red Bull, huku baadhi wakimtaja kuwa…