Miaka 60 ya hifadhi ya taifa Ruaha,waziri Pindi azindua utalii wa Puto
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo umefanyika…
Mwanza mwenyeji maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda, amesema Mkoa wa Mwanza umepewa heshima kubwa ya kuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024, yatakayo…
Serikali yawatua mzigo wananchi Ikondo kufuata huduma za afya zaidi ya Kilomita 36
Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo matatu katika Kituo…
Historia imeandikwa Tanzania,ushindi mpya wa IBA Intercontinental Championship
Historia imeandikwa Tanzania, baada ya Mkanda mwingine kubakia katika Ardhi ya Tanzania ambaoo Bondia Said Mohamed maarufu kama Said Chino kuwa bingwa mpya wa IBA Intercontinental Championship kwa kumchapa mpinzani…
Waziri mkuu aagiza watumishi 4 Kigamboni wafikishwe mahakamani
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na watumishi wanne wa kitengo cha Akaunti Jumuifu ya Amana (TSA) kilichopo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mzee wa Bwax afunika ‘Kitaa food Fest’ Mbagala
MSANII wa muziki wa singeli, Mohammed Rashid maarufu Mzee wa ‘Bwax’, mwishoni mwa wiki alifanya onyesho la aina yake katika Tamasha la chakula la Coca-Cola maarufu ‘Kitaa Food Fest’ Mbagala,…
Vijana Morogoro watakiwa kugombea uchaguzi Serikali za Mitaa
Vijana wametakiwa kujitokeza kugombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu ukitanguliwa na zoezi la kujiandikisha kuanzia octoba 11 hadi 20 mwaka huu. Wito huo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.