Taasisi ya kupambana na rushwa Korea Kusini yashinikiza agizo la kukamatwa kwa rais
Shirika la kupambana na ufisadi nchini Korea Kusini limewataka polisi kuchukua jukumu la kutekeleza agizo la kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol baada ya wapelelezi wake kushindwa kumweka rumande…
Iran yapunguza umri wa kufanya upasuaji wa urembo hadi miaka 14
Iran imepunguza umri wa chini wa kufanyiwa upasuaji wa urembo hadi miaka 14 kwa wasichana na 16 kwa wavulana, kulingana na tangazo rasmi. "Kwa mtazamo wa kisayansi, enzi hizi sasa…
Uhaba mkubwa wa dawa na vifaa vya matibabu watangazwa Gaza
Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imeonya juu ya uhaba mkubwa wa dawa na vifaa vya matibabu wakati wa vita vya mauaji ya halaiki ya Israeli dhidi ya eneo…
Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki wakati Blinken akiwasili Kusini
Korea Kaskazini siku ya Jumatatu imerusha kombora mara tu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alipotembelea Korea Kusini, ambako alitafuta mwelekeo thabiti kuhusu sera za kigeni huku…
Waziri wa Mipango na Uwekezaji aipongeza Mati Super Brands Ltd kwa ulipaji kodi ya serikali
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewapongeza wawekezaji wazawa wa Kiwanda cha Mati Super Brands Limited kwa kulipa kodi stahiki za serikali na kutengeneza…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 61…
TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania
Taasisi ya Taawanu Islamic Foundation chini ya Mkurugenzi wake wa Kimataifa Hajjat Zahra Dattan (zaradattani on Instagram) imezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vitanda kwa hospitali mbalimbali hapa Nchini Tanzania…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 6, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.