Netanyahu awasili mjini New York atarajiwa kutoa hotuba hii leo mkutano mkuu wa UN
Wakati waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, awasili mjini New York siku ya Alhamisi kabla ya hotuba yake kwa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, uliopangwa kufanyika Ijumaa asubuhi, huku…
Takriban watu 700 wauawa nchini Lebanon wiki hii -Wizara ya afya
Takriban watu 700 wameuawa nchini Lebanon wiki hii, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon, ripoti ya Associated Press (AP). Israel imeongeza mashambulizi kwa kasi, ikisema inalenga uwezo wa kijeshi…
Washiriki uchaguzi serikali za mitaa zingatieni kanuni zote za uchaguzi – Karia Magaro
Msimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro Septemba 26,2024 ametoa maelekezo kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika Novemba 27,2024. Katika Kikao…
Polisi waeleza madhara ya dawa za kulevya katika mbio za Mwenge
Polisi Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera umetoa elimu na maelezo ya madhara ya dawa za kulevya kwa vijana wilayani humo katika viwanja vya vya Posta ambapo Mwenge wa Uhuru…
Takriban watu 43 wakiwemo watoto 37 wamekufa maji wakati wa tamasha la Kihindu
Makumi ya watoto walikufa maji walipokuwa wakioga kwenye mito na madimbwi katika ibada ambayo ilikuwa sehemu ya tamasha la siku tatu la Wahindu katika jimbo la Bihar mashariki mwa India,…
Juventus imefanikiwa kupata wachezaji wawili kwa mikataba mipya
Mshambulizi chipukizi Samuel Mbangula na mlinda mlango Carlo Pinsoglio wameandikisha mkataba mpya kwenye klabu ya Juventus Mbelgiji Mbangula, 20, ameongeza mkataba wa miaka miwili na kupeleka makubaliano yake hadi 2028.…
Trump kukutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy leo
Rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump alitangaza Alhamisi kwamba atakutana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Ijumaa asubuhi katika jengo la Trump Tower…
Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu,awasihi walimu kufuatili mienendo ya watoto
Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo…
Kieran Trippier aeleza nia ya kutaka kujiunga na Manchester United.
Beki wa Newcastle United Kieran Trippier ameeleza nia ya kutaka kujiunga na Manchester United. Beki huyo wa kulia alihusishwa na klabu hiyo ya Old Trafford mwaka 2021, lakini uhamisho huo…
Ederson kiungo wa kati wa Atalanta kwenye rada ya Newcastle
Timu ya Newcastle inafuatilia kwa karibu kipaji cha mchezaji Atalanta Ederson. Mbrazil huyo, anayecheza Serie A, alivutia umakini wao kwa kiwango chake dhidi ya Arsenal kwenye Ligi ya Mabingwa. Meneja…