Utatamani kujua ilichosema serikali ya Tanzania kuhusu taarifa za Wahisani kujitoa kuisaidia Tanzania
Baada ya headlines kadhaa za hivi karibuni kwa Wahisani wa Marekani na ulaya kuripotiwa kwamba wamejitoa kuisaidia Tanzania baada ya uchaguzi wa Zanzibar kufanyika wakati kukiwa na malalamiko, serikali ya…
CONFIRMED: Huyu ndio kocha mpya wa Chelsea atakayejiunga na timu mwisho wa msimu 2015/2016
Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa muda Guus Hiddink, April 4 uongozi…
Kazi ya TRA kukusanya kodi inaendelea…. Pesa walizokusanya kwa March 2016 zimetangazwa.
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ilianza kwa ajenda kubwa ya kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza ukusanyaji wa mapato ambapo iliipangia Mamlaka ya Mapato Tanzania 'TRA'…
BREAKING: Unakumbuka alichokifanya Rais Magufuli sherehe za Uhuru? leo katangaza kingine
Miongoni mwa vitu vikubwa vilivyomuweka kwenye headlines Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli toka aingie madarakani ni pamoja na kutangaza kusitisha shamrashamra za sherehe za…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 4 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
April 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Usisahau kuwa Yanga imecheza leo dhidi ya Kagera Sugar, matokeo ninayo hapa
Michezo ya viporo ya Ligi Kuu soka Tanzania bara imepigwa leo kwa vilabu vya Azam FC na Yanga kucheza michezo yao ambayo awali ilikuwa imehairishwa kutokana na kuingiliana na michezo…
Watu wamefungiwa soka maisha leo na TFF ( Full story )
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kwa makamu mwenyekiti wake Jerome Msemwa, April 3 imetoa tamko kuhusu zile tuhuma za upangaji wa matokeo kwa mechi za Ligi…
Mtangazaji wa TV anaekerwa na picha za utupu za Kim Kardashian
Mwandishi na mtangazaji maarufu wa Uingereza ambaye amewahi kufanya kazi pia CNN Piers Morgan kwa mara nyingine amemponda mke wa rapper Kanye West, Kim Kadarshian kwa kitendo cha kupiga picha…
Korea Kusini wako Mahakamani… biashara ya ngono ihalalishwe au ipotezewe moja kwa moja?
Mahakama ya katiba Korea kusini imeendelea kukataa rufaa iliyowasilishwa kupinga sheria inayopiga marufuku biashara ya ngono ikiwa ni ishara ya kushindwa kwa wafanyabiashara hii ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakifanya…
Rais Magufuli ametoa shilingi Milioni 10 nyumbani kwao Geita leo
President John Pombe Magufuli wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yupo nyumbani kwao chato kwa mapumziko ya siku tano ambapo toka ateuliwe kuwa Rais wa Tanzania, hii ni mara yake ya…