List ya miji 10 inayoongoza kwa foleni ya magari Duniani
Huenda ukawa umezoea na kuboreka na foleni ya jiji la Dar Es Salaam ambalo wakati mwingine inaweza kukugharimu kwa zaidi ya saa moja kukaa katika foleni kutoka Tegeta hadi Posta, hususani…
Dakika mbili za majibu ya Jerry Muro kwa wanaosema amewatukana Simba
Baada ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara kumtuhumu afisa habari wa Yanga kuwatukana Simba na viongozi wake, Amplifaya ya Clouds FM ilimtafuta…
KIFO: February 25 2016 Tanzania imempoteza mkongwe mwingine wa muziki
Ni Kassim Mapili... mwimbaji mkongwe lakini hata kijana wa sasa hivi atakua amesikia sana moja ya nyimbo zake kubwa za wakati wote.... ina maneno..... 'napenda nipate lau nafasi.... nipate kusema…
Kutana na majibu ya Diamond kuhusu kukopi idea ya video, fursa 10 TZ na nyingine za headlines
Kwenye 255 ya XXL Clouds FM February 25 2016 stori za burudani zilizochukua nafasi ni pamoja na hii ya Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds MEDIA Ruge Mutahaba kuongelea Fursa 10 kupiti 360…
Ripoti ya mpiga picha wa Mwananchi kutaka kunyang’anywa kamera na Mh Wassira Mwanza…(+Audio)
Moja kati ya stori kubwa za leo kwenye Amplifaya ya Cloudsfm ni hii ya mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi kwa upande wa Mwanza Michael Jamsoni kutaka kunyang’wanywa kamera na…
Mume kafunga safari kutoka Dodoma mpaka Dar kumtafuta Mke aliyekimbia na watoto
Feb 25 2016 kwenye Hekaheka ya Clouds FM ni story inayomuhusu Simba Hassan mkazi wa Dodoma, Baba wa watoto wanne aliyekuja Dar es salaam kumtafuta mke wake aliyetoroka nyumbani akiwa…
Alhamisi ya TBT: video 10 za kitambo bongo flevani.. Belle 9, Matonya, Alikiba, Chidibenz, Diamond na Mr. Blue
Leo ni alhamisi February 25 2016 na tunajua kwenye ulimwengu wa leo siku hii imepewa cheo cha TBT yaani siku ya kukumbuka matukio ya zamani ambapo millardayo.com inakukumbusha au kukuonyesha video…
Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro
February 25 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameingia kwenye headlines baada ya kuamua kuweka wazi lililo moyoni mwake na kumtuhumu afisa habari wa…
Mabibi na mabwana, Dogo janja anawaalika kuusikiliza mdundo wake mpya ‘My life’….(+AUDIO)
Hii ni mpya kutoka kwa Staa wa bongo fleva kutokea kundi Tiptop connection pia mmiliki wa mdundo wa 'Ya moyoni' Dogo janja, leo anayofuraha kukualika kuusikiliza huu mdundo wake mpya…
Ndani ya siku 10, Mdundo wa AKA na Diamond Platinumz ‘Make me sing’ umefikisha views hawa kwenye youTube…
Hit single ya wakali , AKA na Diamond Platinumz 'Make me sing' inazidi kuchukua headline kwenye Tv station na Radio barani Afrika, leo ikiwa ni Feb 25 imetengeneza views milioni 1 kupitia mtandao wa…