Man United walicheza usiku wa February 22 FA Cup dhidi ya Shrewsbury, video ya magoli hii
Baada ya Jumapili ya February 21 kuchezwa michezo mitatu ya Kombe la FA na kushuhudia Chelsea ikiiondoa Man City kwa jumla ya goli 5-1, usiku wa February 22 klabu ya Man…
Dakika 6 za Jerry Muro akiwajibu wanaosema Yanga kabebwa na refa katika mechi dhidi ya Simba
Jumamosi ya February 20 ulipigwa mchezo wenye upinzani na historia kubwa katika nchi hii, hiyo ndio siku ambayo ulipigwa mchezo wa Simba na Yanga, huu ulikuwa mchezo wa marudiano wa…
Kama ulimiss stori 10 za Amplifaya leo feb 22 2016, zote nimekusogezea hapa kupitia Tweets
https://twitter.com/millardayo/status/701830645417377793 https://twitter.com/millardayo/status/701831578960457728 https://twitter.com/millardayo/status/701832180230660097 https://twitter.com/millardayo/status/701832822487699456 https://twitter.com/millardayo/status/701833803204063232 https://twitter.com/millardayo/status/701834131366400001 https://twitter.com/millardayo/status/701834898508816385 https://twitter.com/millardayo/status/701835814066634752 https://twitter.com/millardayo/status/701835814066634752 https://twitter.com/millardayo/status/701839786978500609 https://twitter.com/millardayo/status/701842020311179264 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda…
Tunaruhusiwa kuitazama video mpya ya Rihanna na Drake ‘work’ hapa
Hit single yao ya dunia ilikua 'What's my name' kolabo ambayo wote wawili walishiriki kikamilifu miaka mitano iliyopita... leo February 22 2016 wametuletea hii video mpya ya single yao nyingine…
VIDEO: Zaidi ya trilioni 1 zilivyokusanywa na kugawanywa ndani ya mwezi mmoja katika Serikali ya Rais Magufuli
Serikali imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni moja kwa mwezi huu tofauti na zilizokuwa zikukusanya hapo awali za bilioni 850 kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuzielekeza fedha hizo kwenye…
Kama uliipata stori ya Felipe Anderson kusajiliwa Man United leo Feb 22 kwa euro milioni 60, huu ndio ukweli
February 22 vyombo kadha vya habari viliripoti kwa kuandika stori kuwa klabu ya Man United imefanya usajili wa kiungo mshambuliaji wa Lazio Felipe Anderson. Taarifa hiyo ambayo imeenea kwa kiasi kikubwa katika…
Kama ulimiss 255 ya Clouds fm leo feb 22 2016, nimekusogezea hapa tayari…(+AUDIO)
Kwenye 255 XXL Clouds fm leo, stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Nuh Mziwanda kueleza kuwa enzi za uhusiano wake na Shilole hakuweza hata kununua hata feni kwasasabu…
Mume kakutwa kitandani na Mama yake Mzazi, kilichofuata baada ya hapo…(Hekaheka +AUDIO)
Kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo feb 22 2016 stori inatokea Tabata Dar, Mume kakutwa na Mama yake Mzazi kitandani wakiwa na nusu uchi. Geah Habib alipata time ya kuhoji mkasa…
VideoMpya ya Yamoto Band ft Zena “Mama” imeachiwa tayari, itazame hapa
Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo February 22 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya "Mama" ambayo wamemshirikisha Zena.... ukishaitazama unaweza kuacha comment yako ili…
Taarifa kamili ya Waziri Angellah Kairuki kuwasimamisha kazi watatu leo Utumishi wa Umma
Mawaziri wa Magufuli wameendelea kumiliki vichwa vya habari kutawala katika Wizara mbalimbali Tanzania ambapo leo imegusa katika Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora ambapo Waziri wake Angellah Kairuki ametangaza kuwaondoa…