Mbuzi 75 wakatwa mapanga Morogoro, waziri wa mifugo, kilimo na uvuvi kafanya maamuzi haya
February 9 2016 waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi Mwigulu Nchemba alilazimika kusafiri haraka hadi mkoani Morogoro kijiji cha Kambala wilaya ya Mvomero, baada ya taarifa za mapigano ya wakulima na wafugaji kumfikia,…
Good News: Mabibi na mabwana Diamond Platnumz ana hii ya kukupatia very soon…
Kama wewe shabiki au mpenzi wa Star wa Bongo fleva na mmiliki wa hit song ya 'Utanipenda' Diamond Platnumz basi good news ikufikie kupitia huu ujumbe aliokuwekea kupitia account yake…
TOP 3 Stories: Real Madrid wameweka wazi mipango yao dhidi ya Ronaldo, Messi kufanyiwa uchunguzi wa figo , atayemrithi Hiddink?
Headlines za soka kutoka Hispania zimenifikia mtu wangu, February 9 naomba nikusogezee TOP 3 stories zilizoandikwa kwa wingi kutoka Hispania. Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Diego Simeone ambaye ni kocha…
Mrembo katoka Tabora hadi Dar kumfuata Barakah Da Prince ‘feki’…U heard(+Audio)
Kwenye U heard ya leo Soudy Brown kakutana na mrembo ambaye anadai alikuwa akiwasiliana na Star wa bongo fleva Barakah Da Prince kupitia account ya facebook, kilichomfanya kufunga safari kutokea Tabora…
Diamond Platnumz alikataa kushoot video zake bongo? Mrisho Mpoto anatamani kumuambia nini Rais?… 255(+Audio)
Kwenye 255 ya Clouds fm leo kulikuwa na stori hizi tatu kubwa,:- Diamond Platnumz kazungumzia vitu vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na Godfather ilikuwa ni yeye kutaka…
Mambo matatu ya kufahamu kutoka Yanga leo Feb 9, kuelekea safari yao ya Mauritius
Klabu ya Dar Es Salaam Young Africans Jumamosi ya February 13 itaanza rasmi safari yake ya kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika, kwa kucheza mchezo wake wa kwanza Mauritius…
Hekaheka ya mwanamke mbabe alivyotoka gerezani na kuanza kutembeza kichapo kwa mashahidi..(+Audio)
Kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo Feb 9 2016 ni hii ya kutokea Kawe, Dar es saam..! mtuhumiwa baada ya kuachiwa huru kutoka Gerezani Segerea, karudi nyumbani na kuanza kutembeza…
Joh Makini on stage Iringa….. Promota alizidiwa hapa mpaka akaongeza kiingilio
Ni Joh Makini kwenye stage Iringa Tanzania.... anasema hii ni moja ya show alizowahi kufanya ndani ya January (mwezi dume) na zikauza ticket mpaka Promota akaamua kuongeza kiingilio baada ya…
Good Morning: Sikiliza uchambuzi wa story hot za Magazetini kwenye POWERBREAKFAST Feb 9…(+Audio)
Kama ilivyo kawaida yangu kukuwekea Magazeti yanayosomwa hewani kwenye Radio, leo Feb 9, tayari nimezikusanya kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, yakisomwa. Baadhi ya zilizosomwa ni pamoja na Serikali…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 9 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…