Wema Sepetu kajibu kwanini gari lake lilikamatwa? Jux bado anawasiliana na Jack? (+Audio)
Producer Hermy B kuna wasanii anatamani sana kufanya nao kazi? ”Natamani kufanya kazi na Maua Sama kutokana na ubora wa sauti yake, mimi huwa nagombana sana na wasani kwakuwa huwa…
Yaliyomkuta Mganga wa kienyeji baada ya kutaka kumrudisha mtoto aliyepotea…(Hekaheka +Audio)
Kwenye hekaheka Kuna mtoto amepotea Kawe, Dar. Baada yakutafutwa kwa muda mrefu bila mafanikio Mama wa mtoto akaamua kumuita Mganga wa kienyeji ili kupata msaada, moja ya tukio lililowashangaza watu…
Ilikupita hii ya Wanawake wa Kenya kuandamana kudai haki ya tendo la ndoa?…(+Audio)
Mwaka 2015 headline nyingi ziliandikwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari, ishu kubwa ikiwa ni wanawake wa Rombo ,Tanzania kukodi wanaume kutoka Kenya ili kufanya nao mapenzi…
Nilipewa taarifa za kazi ya huu mtandao wa Kaymu Tanzania wiki kadhaa zilizopita.
Niliwahi kuambiwa wiki kadhaa zilizopita kwamba kuna mtandao upo na unafanya kazi Tanzania kwa ajili tu ya kuwasaidia Watanzania kurahisisha mambo kama kutokukaa kwenye foleni au kwenda mpaka dukani wakati…
Nimekurekodia habari Hot kwenye Magazeti ya leo Feb 08, wakati yakisomwa kwenye Power Breakfast.
Kama ulikuwa mbali na Radio yako ukashindwa kusikiliza Magazeti yakisomwa hewani leo feb 08, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, nimekurekodia unaweza kusikiliza hapa. Baadhi ya Habari zilizochukua…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 8 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 8 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Madaraja matano hatari zaidi duniani ya watembea kwa miguu, Afrika lipo hili pekee … (+Pichaz)
Mtu wangu wa nguvu bado millardayo.com inaendelea kukuletea kila linaloendelea duniani, iwe usiku au mchana, nimekutana na list nyingine ya TOP 5 ya madaraja hatari zaidi duniani ya watembea kwa…
Kocha wa KRC Genk alimwambia Samatta juzi hatompanga ila akabadili mawazo, Samatta kaeleza kwenye hii video
Jumamosi ya February 6 ilikuwa ni siku ya kihistoria na furaha kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na klabu…
Video ya magoli ya JKT Ruvu Vs Yanga February 7 2016, Full Time 0-4
Ligi Kuu soka Tanzania bara mzunguko wa pili umeendelea Jumamosi ya February 7 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Yanga katika mchezo wa marudiano, Yanga wamerejea…
VideoFUPI: Shangwe za show ya Ommy Dimpoz na Alikiba Turkana Kenya
Ommy Dimpoz na Alikiba walialikwa kwenye show ya pamoja Turkana Kenya weekend hii na kufanya show ambayo mashabiki wengi wa upande huo walikua wanaisubiria kutokana na ukubwa wa muziki wa…