VideoMPYA: Ladies and gentleman.. video mpya ya Alikiba ‘Lupela’ ndio hii imeachiwa tayari
Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu…
Kama ulikosa kuangalia magoli ya mechi ya Chelsea Vs Man United, yapo hapa …
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo February 7 kwa michezo miwili kupigwa, AFC Bournemouth walikuwa wenyeji wa Arsenal katika uwanja wao wa nyumbani, wakati Chelsea walikuwa wenyeji wa Man United…
Baada ya kunusurika kipigo kutoka Prisons, Yanga yaendelea na maisha yake ya ushindi dhidi ya JKT Ruvu (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya February 7 kwa michezo 7 kupigwa katika viwanja tofauti, klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo ilikuwa mikoani kucheza mechi…
Kwa mara ya kwanza Jose Mourinho kavunja ukimya kuhusu stori za yeye kurudi katika soka …
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kwa kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho, February 7 karudi kwenye headlines na kauli mpya baada ya kutokuwa tayari kuzungumzia…
VIDEO: Dakika 18 za burudani ya Christian Bella kwenye show ya ‘The First Friday’
Feb 5 2016 mkali wa masauti Christian Bella aliwakusanya wana Dar es salaam kwa pamoja na kudondosha bonge la show katika ukumbi wa Rhapsody uliyopo Viva Tower Dar, show iliyopewa jina la The…
Beyonce is Back na hii kali kwenye Video ‘Formation’
Saa chache kabla ya kutumbuiza kwenye SUPER BOWL 50 ya Marekani kama Guest Star, Staa wa muziki wa RnB na Pop Beyonce Knowles anaisogeza ya kwanza kwa mwaka huu wa 2016...…
VideoMPYA: Dakika zako 4 zitumie kumtazama Young Killer na Juma Nature walichokifanya kwenye video mpya ya ‘popote kambi’
Tunae Young Killer kwenye hii post... tuliisikia tu single yake kwenye audio sana lakini good news ni kwamba katuletea hii video mpya featuring Juma Nature 'popote kambi' na unaweza kutuachia…
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Feb 7, 2016
Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti leo Feb 7 2016, kila siku huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/696187507348742144 https://twitter.com/millardayo/status/696191409817317376 https://twitter.com/millardayo/status/696193758942121984 https://twitter.com/millardayo/status/696196215843725312 https://twitter.com/millardayo/status/696211677369475072 Unataka kutumiwa MSG…
VideoMPYA: Unakumbuka zile picha za harusi za Linex? video ndio hii imetoka ‘Kwa hela’
Picha za utengenezaji wa hii video ndio zilimuweka Linex kwenye headlines za kufunga ndoa kimyakimya lakini baadae akaja mwenyewe kukiri kupitia XxL ya CloudsFM kwamba zilikua ni picha za video…
Picha za Lori la mafuta lililodondoka Dodoma na kulipuka asubuhi Feb 7 2016
Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa ambapo hazikupatikana taarifa rasmi kuhusu ajali yenyewe kwenye upande wa Majeruhi…