Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 7 2016 kwenye Hardnews na michezo
February 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,…
Hadi kufikia December 4 2015 hii ndio ilikuwa miji mitano hatari zaidi duniani, Afrika umetajwa mmoja …
Mtu wangu wa nguvu bado mitandao inakupa nafasi ya kusafiri kifikra na kimawazo kama hujafika sehemu unaweza ukapata nafasi ya kuijua sehemu kabla hata ya kufika, February 7 nimekutana na…
VIDEO: Tatizo la migogoro ya ardhi Kinondoni, DC Makonda kaanza na utaratibu huu..
Feb 6 2016 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, alifanya mkutano na Wenyeviti wa mitaa na wajumbe, lengo kubwa likiwa kutafuta utatuzi wa changamoto za ardhi kwa Wana Dar…
Pichaz za Tunda Man alivyoanza kazi ya Ubalozi kwa kutoa laki moja moja kwa wakinamama
Mkali wa Bongo Fleva anayemiliki headlines na Air Time kwa hit single yake ya 'Mama Kijacho' Khalid Ramadhani maarufu kama Tunda Man amerudi kwenye headlines February 6 baada ya kuanza…
Mbwana Samatta kacheza mechi yake ya kwanza akiwa na KRC Genk ya Ubelgiji, huu ndio ushindi walioupata (+Pichaz)
Ligi Kuu Ubelgiji imeendelea tena leo February 6 kwa michezo kadhaa kupigwa, miongoni mwa michezo iliyochezwa leo February 6 ni mchezo kati ya Mouscron FC dhidi ya klabu ya KRC…
Mambo 10 ya kufahamu kutoka kwenye hotuba ya Jakaya Kikwete leo February 6 katika maadhimisho ya CCM (+Audio)
February 6 Chama Cha Mapinduzi CCM kilifanya maadhimisho ya miaka 39 ya chama hiko katika uwanja wa Namfua Singida, maadhimisho ya miaka 39 ya CCM yalihudhuriwa na viongozi na makada…
Mara ya mwisho kuona video mpya ya Steve RNB ilikua lini? katuletea hii mpya inaitwa ‘listen’
Ulimmiss Steve RNB? leo February 6 2016 ametuletea video yake mpya ya ile single ya 'listen' ukimaliza kuitazama sio mbaya ukituachia comment yako ili Steve RNB akipita baadae ajue mashabiki…
Picha ya nyumba aliyoishi Jakaya Kikwete miaka 41 iliyopita Singida.
Kama ulikua hujui, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Jakaya Kikwete safari ya kuanza kukitumikia chama aliianzia ndani ya mkoa wa Singida.…
Pichaz 20 ya Kilivyohappen katika show ya First Friday ya Christian Bella na Jimmy Chansa
Mtu wangu wa usiku wa February 5 Christian Bella mkali wa masauti akiwa pamoja na Jimmy Chansa walifanya bonge moja la show katika ukumbi wa Rhapsody uliyopo Viva Tower, show…
VIDEO: Husband kaenda kazini… Wife kaleta Mchepuko nyumbani alafu ghafla mume anarudi home
Cheating kwenye relationship ipo kwa asilimia kubwa sana miongoni mwa watu wengi kote duniani, vipi kama ukiponea chupuchupu kufumaniwa tena kwenye nyumba ya Mwanaume? tazama hiki kipisi hapa cha video…