Ulimiss? Video ya kilichotokea kwenye party ya Alikiba alivyotuonyesha video yake mpya ‘Lupela’
Alikiba ni mwimbaji staa wa bongofleva ambaye kwa siku kadhaa zilizopita amewafanya Watanzania wawe juujuu kusikilizia single yake mpya ya 'Lupela' ambayo ameiachia rasmi February 4 2016, nilikuwepo eneo la…
VideoMPYA: Cyrill Kamikaze anatualika kuitazama video yake mpya ‘Shori’
Tunae Cyrill Kamikaze kwenye bongofleva kwa zaidi ya miaka mitano sasa na ameendelea kutusogezea nyimbo zake kila wakati, leo February 6 2016 anatukaribisha kuitazama video yake mpya ya shori ambayo ndio…
Zisikupite hizi #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania Feb 6, 2016
Tayari nimekukusanyia Uchambuzi wa stori zote za magazeti leo Feb 6 2016, kila siku huwa nazipandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/695826886983819265 https://twitter.com/millardayo/status/695901576427393024 https://twitter.com/millardayo/status/695824754993926144 https://twitter.com/millardayo/status/695829019309248512 https://twitter.com/millardayo/status/695837318553477120 https://twitter.com/millardayo/status/695843699578765312 Unataka kutumiwa…
Hadi kufikia February 2015, hii ndio ilikuwa list ya magari matano makali na gharama kubwa duniani (+Pichaz)
Najua katika maisha kila mtu ana dream car yake yaani gari ambayo angependa kumiliki na kutembelea wakati atakapokuwa amepata pesa, gari zipo nyingi sana lakini inategemea na wewe mwenyewe unahitaji…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 6 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Mechi 26 zinazostahili kuchukua muda wako weekend ya February 6 na 7
Najua mtu wangu wa nguvu ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya February 6 na Jumapili ya February 7. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya…
Jose Mourinho anatua Man United? safari hii imetajwa hadi tarehe rasmi …
Stori za kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho kujiunga na klabu ya Manchester United zinazidi kushika kasi, licha ya kuwa ni tetesi hadi sasa kuhusu…
VideoMPYA: Mabibi na mabwana ninayo video mpya ya Fid Q tayari ft. Taz ‘Walk It Off’
Mtu wangu wa nguvu mkali wa mashairi anayeiwakilisha Farid Kubanda ambaye wengi tumemzoea kwa jila na Fid Q kaja na video mpya ya Walk It Off kamshirikisha Taz, mkali wa…
Enjoy video ya dakika tatu ya magoli bora ya faulo ndogo ya ndani ya box
Mtu wangu wa nguvu kama ni mpenda soka najua umeshawahi kuona mechi ambayo imetolewa faulo ndani ya box badala ya penati, kutoka na baadhi ya makosa ambayo hufanyika ndani ya…
Mbunge Jesca Kishoa kayasema haya baada ya kukamilisha adhabu ya kuwa nje ya Bunge…(+Audio)
Feb 4 2016 Mbunge wa viti maalum CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi Jesca Kishoa aliingia kwenye headline baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo salia baada ya kukataa kufuta…