VIDEO: Paul Makonda alivyomalizana na mgogoro wa ardhi wa Mzee Sumaye na Wananchi
Jan 29 2016 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda aliwakutanisha katika meza moja Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye na wananchi wa Mabwepande baada ya kuzuka mgogoro wa kugombea shamba. Full…
TRA wameamua kazi, makusanyo ya kodi January 2016 yanasomeka hivi..
Kwenye ahadi kubwa za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli ziko na hizi mbili kubwa >>> kupambana na ubadhirifu pamoja na ukusanyaji wa mapato. Kazi ya kukusanya…
Mabadiliko ya Serikali ya Magufuli yamegusa Jeshini JWTZ leo..
Kazi ya Rais Magufuli inaendelea na bado anaendelea kuonekana kwenye vichwa vya habari kila wakati kutokana na maamuzi yake kila siku huku akiendelea kuisuka awamu yake ya tano Serikalini kwa…
Good News: Mabibi na Mabwana Godzilla anawaalika kuitazama video yake mpya ‘Get high’
Mkali wa miondoko ya Hip-Hop Godzilla tayari katusogezea kichupa cha ngoma yake aliyoipa jina la 'GET HIGH', ni ruhusa yako sasa kuitazama hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=X2s2nZ7pShw&feature=youtu.be&hd=1 Unataka kutumiwa MSG za habari zote…
Top 10 News kutoka Magazetini >> ya Bungeni, ajali ya kivuko, ESCROW na mengine..
Kama kuna stori kubwa hujaipata leo, unaweza kupitia Tweets hizi hapa kutoka Magazetini Tanzania mtu wangu, zote zenye stori kubwa huwa nazisogeza Twitter kwenye account ya @millardayo kila siku, za leo 10…
Video mpya ya Navy Kenzo Kamatia na pichaz za uzinduzi wa surprise kwa mashabiki
Usiku wa January 30 kundi la muziki wa Bongo Fleva Navy Kenzo linaloundwa na Aika na Nahreel ambao ni couple, wameingia kwenye headlines usiku wa January 29 kuamkia January 30,…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 30 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Dakika sita za Mawaziri wawili wakichambua mabilioni ya ‘elimu bure’ ya Magufuli.. (+Audio)
Kwenye ile time ya maswali na majibu ndani ya Kikao cha Bunge la Tanzania, Dodoma leo kulikuwa na maswali ambayo yamegusia agizo la Rais Magufuli kuhusu elimu kutolewa bure kwa…
Kama una safari ya kwenda Dodoma inabidi uongeze umakini barabarani.. (Pichaz)
Najua kuna watu huenda wako njiani au wana mipango ya kusafiri kwenye mji ambao una headlines za vikao vya Bunge kwa sasa, Dodoma town.. au wengine wana safari kwenda mikoa…
Video na pichaz za utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji ….
Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji,…