Picha 10 kutoka Arusha, Rais Magufuli kwenye magwanda ya kijeshi…
Hii inakua safari ya tatu kwenda nje ya Dar es salaam toka aapishwe kuwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, nakumbuka aliwahi kwenda Dodoma kwenye ufunguzi wa bunge mwisho wa…
Baada ya kufukuzwa Chelsea, Jose Mourinho kahamishia maneno yake kwenye siasa za Ureno …
Baada ya uongozi wa Chelsea kumfukuza kazi aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho na nafasi yake kuchukuliwa na Guus Hiddink kama kocha wa muda wa Chelsea, Mourinho ameingia…
Nay wa Mitego kaamua kusimulia alivyofumania na kunyang’anya mtoto kwa mpenzi wake.. (+Audio)
Stori ilikamata sana headlines mwaka 2015, Nay wa Mitego na mzazi mwenzake Siwema kutoka Mwanza... mtoto wao ikawa stori kubwa, Nay aliapa hatojibizana na madai yote ya mitandaoni kuhusu mzazi…
TOP 5 Stories: Man United wamemfungia Louis van Gaal, Chelsea wapanda dau kwa Stones, Man United na Guardiola ?
Mtu wangu wa nguvu ambaye unapenda soka, nimekutana na headlines nyingi za soka siku ya Ijumaa ya January 22, kuna mengi yameandikwa kuhusu soka la Uingereza. Naomba nikusogezee ripoti kubwa…
Mipango mingine ya Mariah Carey na ‘boyfriend’ wake kwenye maisha mapya ya ndoa
Mwaka 2015 mwanamuziki wa Marekani Mariah Carey aliingia kwenye headlines na aliyekuwa mume wake Nick Cannon mara baada ya kutangaza kutengana. Mariah Carey aliripotiwa kuwa kwenye uhusiano mpya na bilionea…
Updates: maamuzi mapya ya Kamati ya akina Jokate na wengine kwenye Miss Tanzania..
January 22 2016 Kamati ya Miss Tanzania ikiwa na baadhi ya viongozi wakiwemo akina Jokate Mwegelo, Juma Pinto na Gladys Shao imeamua maamuzi mengine. Kilichonifikia ni kwamba Kamati hiyo imeamua kujitoa…
Picha na video ya safari ya mwisho ya marehemu mume wa Celine Dion alivyoagwa Canada.. RIP
Majonzi mfululizo yameikuta familia ya staa mkubwa wa muziki duniani na mwenye heshima pamoja na ushindi wa Tuzo nyingi kubwa, kwanza ilikuwa msiba wa mume wake Rene Angelil ambaye aliugua ugonjwa…
Ya Membe na Rais Magufuli, kesi ya Tundu Lisu, Kamati za Bunge, ndege ya ATCL..Magazetini
NIPASHE Jumla ya wanafunzi 108,829 sawa na asilimia 11.13 kati ya 977,886 waliofanya mtihani wa kitaifa wa darasa la nne mwaka jana, wanatakiwa kukariri darasa baada ya kupata ufaulu usioridhisha.…
Top 10 ya Tweets zilizopewa uzito kwenye Magazeti ya leo January 22 2016..
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Haya hapa matokeo ya mtihani wa wanafunzi darasa la nne Tanzania 2015
Ripoti za kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la nne imeanza kuenea mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kama redio na TV siku ya jana January 21 2016, kama…