Picha za Rais mstaafu JK alipokwenda Ikulu January 6 2016 + maelezo mafupi.
Rais mstaafu wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda Ikulu Dar es salaam January 6 2016 kukutana na Rais Magufuli ambapo taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema kwenye mazungumzo…
Jiji la Mwanza halijasahau wala kuwafukuza Wamachinga, mpango wao unaofatia huu hapa..!!
Hii ni kwa watu wangu wanaofanya biashara zao katikati ya mji iwe ni pembeni ya barabara au mbele ya maduka 88.1 Mwanza, machinga endelea kuomba mipango ikamilike mtu wangu…ni kutoka…
Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)
Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye…
Nimemuuliza Daktari kuhusu ile ya Wanawake wenye maumbile makubwa kuzaa watoto wenye akili..?(+Audio)
Kumekuwepo na taarifa kwenye Magazeti na mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili, hapa kwenye hii video chini nakukutanisha na jibu…
Mtanzania mmoja pekee ndio kabaki kwenye Top 10 ya Trace Tv
Tayari nimezikusanya Top 10 za Urban Hit January 6 2016 kutokea kituo cha kimataifa nchini Ufaransa Trace Tv, zote unazipata hapa chini. 10.DRAKE-HOTLINE BLING https://www.youtube.com/watch?v=uxpDa-c-4Mc 9.TIMAYA FT. DON JAZZY- I…
Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu…
Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, headlines zake zinaendelea kunifikia mtu wangu, naomba ukutane na maneno yake najua utatoka na kitu…leo ni kuhusu wakina mama wajawazito kupoteza…
Dar es Salaam na mishemishe zake, Kariakoo palikuwa hivi leo… (+Pichaz)
Ukiitaja Kariakoo moja kwa moja akili na mawazo ya watu wengi huenda kwenye zile mishemishe za pale katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Jumatano ya January 6 2016 ndio…
Licha ya kuwadhibiti Simba, hiki ndio kichapo cha Jamuhuri walichokipata kutoka kwa wanajeshi …
Michuano ya Kombe la Mapinduzi January 6 iliendelea kama kawaida kwa mujibu wa ratiba January 6 itachezwa michezo miwili ya Kundi A. Mchezo mmoja tayari umemamlizika kati ya JKU dhidi…
Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…
Wakati zoezi la Bomoabomoa likiendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam tayari Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limetoa mikakati ya kuendeleza bonde la mto Msimbazi.…
Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz)
Huenda umekutana na stori mitandaoni au picha kuhusu tukio la ajali ya moto katika jengo la Wizara ya Mambo ya ndani, posta Dar es Salaam. Msemaji wa Jeshi la Polisi…