Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ alivyowaacha hoi wakazi wa Dodoma
Mkali wa hit singo ya 'Aiyola' kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize usiku wa Dec 31 aliidondosha burudani kwa wakazi wa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu ametambulika na mashabiki…
Hivi ndivyo Chicharito alivyozidi kumtia aibu kocha wa Man United Louis van Gaal …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Javier ‘Chicharito’ Hernandez, December 31 amerudi tena katika headlines za soka, baada ya mafanikio yake kuzidi kuonekana. Chicharito amerudi…
Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …
Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu…
Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video)
Wakati unahesabu dakika chache kuuvuka mwaka 2015 salama, najua kuna watu wangu wako kwenye nyumba za ibada wanamshukuru MUNGU, wengine wamekusanyika na ndugu jamaa na marafiki kwa utulivu kuenjoy huku…
Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …
Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa…
Diwani Yusuph Manji alivyowadondoshea burudani watu wake Mbagala… (+Picha)
Kwenye watu wazito walioamua kuingia kwenye siasa, mfanyabiashara Yusuph Manji pamoja na Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ambaye ni Diwani wa kata ya Kilungule nao waliamua kuthubutu upande…
Hii ndio funga mwaka 2015 ya TOP 8 ya mastaa wa soka waliowapiga chenga kali za matobo (+Video)
Leo December 31 mtu wangu wa nguvu ukiwa unasubiria na kuomba mungu uweze kuuona mwaka 2016. Naomba nikupea count down ya chenga 8 kali za matobo zilizopigwa kwa mwaka 2015. Najua…
Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri wa kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta amekiri kuwa katika harakati za mwisho za kwenda kucheza…
Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …
Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa…
Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …
December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz…