Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi..
Nafasi ya muziki kwa sasa imekua kubwa sana kiasi kwamba wasanii wetu wa Tanzania mbali na kutotoa album tena lakini wamekua na nafasi ya kuuza singo moja moja, mitandaoni na…
Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)
Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania tayari wameapishwa kwa asilimia kubwa, wachache waliobaki ni wa kutoka maeneo ambayo Uchaguzi Mkuu ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. Kama ulidhani kazi…
Stori za 255 zilizobeba uzito wa mwaka 2015 >> Daz Baba, B Hitz, Stereo na Cyril.. (+Audio)
Leo 255 inasimama na baadhi ya stori ambazo ziligusa vichwa vya habari kwa mwaka 2015... ilikuwepo ishu ya uzushi wa Daz Baba kuonekana ana hali mbaya na anaonekana ni mgonjwa…
Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video)
Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa... ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !!…
DJ wa Jay Z katua Dar es Salaam.. kumbe ana washkaji TZ !! Mengine kwenye dakika 3.. +Video
Jamaa anaitwa DJ Young Guru, huyu ndio jamaa ambae anafanya kazi kama DJ wa rapper Jay Z akiwa kwenye show zake... Hii ni safari ya pili kwa Young Guru kukanyaga…
Shilole alivyoifanya party isiyo na jina nyumbani kwake (video)
Msanii wa bongofleva December 28 2015 alifanya party nyumbani kwake lakini akasema party hiyo ambayo imefanyika kwenye huu mwezi ambao ni mwezi wake wa kuzaliwa haina jina, unaweza kutazama ilivyokua…
Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …
December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara…
‘Ligi Ndogo’ hii hapa kwenye video iliyochanganywa TZ na South Africa >> Bil Nas Feat. TID (Video)
'Ligi Ndogo' nayo ni moja ya ngoma kali za kuheshimika kwa mwaka 2015, hiyo ni kazi ya kijana mwenye ukali wake kwenye rap music, Billnass Feat. TID. Kwa sababu redioni…
Magazeti ya Tanzania December 30 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 30 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao…