Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA
Jumatatu imeanza kwa uchambuzi wa stori za Magazetini, hapa ninazo baadhi ya stori hizo kwenye vichwa vya habari vyenye ukubwa wake. Mbunge Leticia Nyerere apumulia mashine baada ya hali yake…
Magazeti ya Tanzania December 28 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 28 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa…
Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza …
Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com…
Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?
Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati…
Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta…
Bado headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuandikwa kila siku. Kwa sasa Mbwana Samatta…
Alikiba jukwaani, baadae akapanda Jokate na Wema Sepetu
Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata headlines mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2015, hapa nakusogeza karibu tena na msanii Alikiba kwenye stage ya Escape One, Mikocheni Dar es…
Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz …
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, Mwanza ulichezwa mchezo wa Toto Africans dhidi ya African Sports ya Tanga, wakati Dar Es Salaam katika dimba la…
Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG
VKama kawaida kila linalonifikia siachi kukujuza, ninazo headlines za stori za soka za Ulaya, ninazo headlines kuhusu maendeleo ya stori za maisha ya Louis van Gaal ndani ya Man United, ninazo…
Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye …
December 27 zimenifikia headlines za mkali wa hit singles za Ashaw, Golibe na Sweetie Mr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa…