Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta…
Bado headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuandikwa kila siku. Kwa sasa Mbwana Samatta…
Alikiba jukwaani, baadae akapanda Jokate na Wema Sepetu
Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata headlines mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka 2015, hapa nakusogeza karibu tena na msanii Alikiba kwenye stage ya Escape One, Mikocheni Dar es…
Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz …
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, Mwanza ulichezwa mchezo wa Toto Africans dhidi ya African Sports ya Tanga, wakati Dar Es Salaam katika dimba la…
Yalioandikwa Dec 27 kuhusu Van Gaal, Wenger na Pep Guardiola kupigiwa simu na Rais wa PSG
VKama kawaida kila linalonifikia siachi kukujuza, ninazo headlines za stori za soka za Ulaya, ninazo headlines kuhusu maendeleo ya stori za maisha ya Louis van Gaal ndani ya Man United, ninazo…
Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye …
December 27 zimenifikia headlines za mkali wa hit singles za Ashaw, Golibe na Sweetie Mr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa…
Diamond Platnumz on stage na dancers wake Mbagala (+Video)
Dec 25 2015 Msanii Diamond Platnumz kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia kubwa kwenye dunia ya burudani 88.5, kwa kutoa shangwe za burudani kwenye viwanja vya Dar Live Mbagala Dar…
Picha za Alikiba kwenye stage ufukweni alivyouaga mwaka 2015…
December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam wakazi wa 88.5 walishuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye ujio wake mzito…
Magazeti ya Tanzania December 27 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 27 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram…
Video ya Rais Magufuli alivyozipokea taarifa za Zanzibar Dec 26
Dec 26 2015 Rais John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Dar es salaam. Kwenye…
Baada ya Christmas Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20
Mtu wangu wa nguvu naomba nikujuze kilichotokea katika Mama Tour ya Yamoto Band pande za Mwanza, ikiwa ni siku moja imepita toka Yamoto Band wapige Show kali pande za Geita,…