Video ya Rais Magufuli alivyozipokea taarifa za Zanzibar Dec 26
Dec 26 2015 Rais John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Dar es salaam. Kwenye…
Baada ya Christmas Geita, Yamoto Band wamefungua mabox ya zawadi Villa Park Mwanza, cheki pichaz 20
Mtu wangu wa nguvu naomba nikujuze kilichotokea katika Mama Tour ya Yamoto Band pande za Mwanza, ikiwa ni siku moja imepita toka Yamoto Band wapige Show kali pande za Geita,…
Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….
Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati…
Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)
Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song…
Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz …
Baada ya michezo tisa ya Ligi Kuu Uingereza kupigwa Jumamosi ya December 26 siku ya Boxing Day, ulibakia mchezo mmoja ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26. Mchezo ambao ulikuwa…
Watu na mbinu zao, jamaa kavunja sheria za barabarani, baada ya askari kuja akavua nguo ili … (+Pichaz)
Katika maisha watu wana mbinu nyingi za kuhakikisha malengo au mipango yao inafanikiwa kwa kutumia mbinu tofauti tofauti. Mtu wangu wa nguvu katika pita pita zangu mitandaoni nikaingia lindaikejeblog. Tanzania…
RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake
Unakumbuka au umwahi kusikia zile headlines za mtu mnene kuliko wote duniani, basi imenifikia stori yake mpya japokuwa sio njema mtu wangu. Andres Moreno jamaa ambaye anashikilia rekodi ya kuwa mtu…
Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46
Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng'ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. >>…
Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26
Mwaka 2015 unaisha huku staa wa Bongofleva akiandika rekodi nzuri na ya nguvu kabisa, ni rekodi ya kurudi kwenye game na kuachia ngoma nyingi ambazo zote zimepokelewa kwa mikono miwili.…
Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26
Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu…