Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)!
Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuuweka wazi uhusiano wake na mrembo Maima, staa huyo amekuja na mdundo mwengine kwenye…
Ni mdundo baada ya mdundo… hii ni nyingine kutoka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty. Baada ya kusiogeza kwetu video ya Back to Sleep jana 15 December 2015,…
Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka na cha…
Magazeti ya Tanzania December 16 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 16 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha mchezaji …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki Samuel Eto'o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa…
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz. Safari hii kundi hilo limeamua kushoot pia…
Mbwembwe na utani wa Neymar akiwa dressing room kabla ya mechi, mara achane nywele acheze muziki (+Video)
Stori za staa wa kibrazil Neymar katika umahiri wake wa kupiga chenga zimekuwa zikiingia katika headlines kila siku, najua umezoea kumuona Neymar na umbo lake dogo akiwapa shida wachezaji wenye maumbo…
GoodNews ni hapa ilipofikia video ya #Game ya Navy Kenzo kwenye chati za MTV Base
Wasanii wawili wanaounda kundi la Navy Kenzo (Aika & Nahreel) wanazidi kupanda chart baada ya video ya wimbo wao Game waliyomshirikisha Vanessa Mdee kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye chati…
Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)
Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama…
ON STAGE: WEUSI, Maua, FA, AY, Blue, Belle 9, Dimpoz na Msami kwenye After School Bash 2015 (video)
Ni kutoka kwenye tamasha 'After Skul Bash' lililoandaliwa na XXL ya CloudsFM December 12 2015 Escape One Mikocheni Dar es salaam ambapo wakali wengi wa bongofleva walitokea kuonyesha uwezo wao kwenye…