Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya
Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi…
Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …
Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kuwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mourinho wa klabu ya Chelsea, ambaye timu yake imekuwa…
Kavumbagu kauzwa na AzamFC? waziri Muhongo na umeme TZ je? majibu ninayo hapa
Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme pamoja na kupunguza gharama za upatikanaji wa nishati hii, ni ahadi ambayo imetolewa na Waziri wa Nishati Prof. Sospeter…
List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …
Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine kama unaweza kumuita mchezaji mbele za watu wasio mfahamu…
Unaambiwa hizi ni tabia 8 za watu wapole… hebu tazama ujaribu kulinganisha
Tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu wanatofautiana kifikra, kitabia na kwenye vitu vingine... sasa leo December 15 mtaalamu wa saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Chris Mauki ametoa hizi…
Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio)
Headlines za golikipa mkongwe ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Ivo Mapunda kuhusu suala la umri wake na…
Saa kadhaa kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa, Yanga wasajili nyota wawili …
Uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African usiku wa December 15 tukiwa tunaelekea kufunga dirisha la usajili umetangaza kukamilisha usajili wa nyota wawili. Yanga ambao walithibitisha kumtema mchezaji wa kimataifa…
Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani
Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa…
Duu!! sio Bongo tu hata Ulaya usaliti upo, baada ya kipigo Mourinho analalamika wachezaji wanamsaliti …
December 14 ni siku ambayo Ligi Kuu ya Uingereza iliendelea tena ambapo moja kati ya mechi zilizochezwa ni ile ya Leicester City dhidi ya Chelsea. Mchezo huo uliyochezwa kwenye uwanja…
DC Paul Makonda kwenye hizi sentensi tatu
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda leo amekutana na viongozi wa masoko mbalimbali na kuzungumzia kero zinazokabili masoko hayo. "Nimeitisha kikao cha viongozi wa masoko, wamekuja wote na kujadili…