Haya ndio majina ya wale waliochaguliwa kuwania tuzo za 58th Grammy Awards 2016!
Tuzo za 58th za Grammy Awards zipo njiani na kwa muonekano wa mambo, tuzo za safari hii zitakuwa poa sana kwa rapper Kendrick Lamar anayeongoza kwa kuwa na nominations 11.…
Kasi ya Rais Magufuli, Muhimbili wamepata hii mashine mpya ya Digital
November 9 2015 Rais Magufuli alifanya ziara ya ghafla ya kwenye hospitali ya taifa Muhimbili na kukuta Wagonjwa wanalala chini pia mashine nyingine hazifanyi kazi kama inavyotakiwa, siku chache baadae…
Vingine sita vya kufahamu kuhusu Beyonce hivi hapa…
Beyonce amekuwa msanii ambaye wasichana wengi wanatamani kuja kuwa kama yeye siku moja, ushawishi wake umegusa watu wengi na sehemu mbalimbali duniani. Naamini kuna matukio mengi sana ya Beyonce ambayo…
Kasi ya Rais MAGUFULI imegonga hodi ofisi ya Rais-utumishi…hii ndio mikakati yao mipya!!
Rais wa awamu ya tano Dk.John Magufuli ameendelea na mikakati yake ya kuhakikisha anaiweka nchi katika nafasi nzuri ya kufikia mafanikio ya kimaendeleo. Ikiwa ni mwezi mmoja tangu achaguliwe kuiongoza…
Jay Moe karudi mchezoni na mzigo mwingine mtu wangu > – ‘Hili Game’ Feat. Deddy (Audio)
Kama unakumbuka miaka ya nyuma, mkali wa game toka maeneo ya Temeke Dar es Salaam, Juma Nature aliwahi kudondosha hit kali kabisa ambayo ilifanya poa sana miaka hiyo, ngoma hiyo…
Ni time ya kukutana na jamii ya inzi iliyopewa jina la staa wa muziki, Beyonce Knowles!
Beyonce Knowles a.k.a Queen Bey ni miongoni ya wasanii wenye majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa muziki duniani. Uwezo wake wa kuimba na kucheza kwa manjonjo on stage ni miongoni…
Steve RNB karudi na ngoma mpya, kama ilikupita isikilize hapa… ‘Listen’
Ni staa wa bongofleva ambae hits zilizompa headlines ni pamoja na ‘Tabasamu‘ aliyoshirikishwa na Mr. Blue, msanii huyo time hii ametusogezea hii single yake mpya iitwayo 'Listen'. Unaweza ukabonyeza play…
Hakuna Fiesta 2015? Mbunge na rappers wa Dom? Q Chief na tattoo zake 40 !! Hizi hapa story zote..
Najua kuna list kubwa ya watu wa nguvu ambao walikuwa na hamu kuishuhudia stage ya burudani ya nguvu ya FIESTA ambayo huwa inatolewa kila mwaka kwenye mikoa mbalimbali ya TZ...…
Save hii tarehe ! December 11 2015 zinatolewa Tuzo Tanzania.. Magazeti, TV,
Naambiwa December 11 2015 ndio itakua siku yenyewe ya Viongozi/Wafanyabiashara na Taasisi mbalimbali kupewa tuzo za kutambua mchango wao kwenye ishu mbalimbali walizozifanya kitofauti katika kuleta mabadiliko kwenye jamii ya…
Vitu vitano vya kufahamu kuhusu staa wa muziki, Shakira..!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Shakira na style zake za kucheza... licha ya kutengeneza jina kubwa kwenye soko la muziki Marekani na la dunia…